Waziri Mkuu wa Tanzania amekutana na Naibu waziri mkuu na Waziri wa Mambo ya nje wa Ubelgji ofisini kwake Bungeni Dodoma na kueleza kwamba Tanzania inahifadhi jumla ya Wakimbizi 165,000 kati ya 230,000 walioko katika nchi za Maziwa makuu ambapo bajeti ya Serikali haitoshelezi kuwapa huduma zinazostahili.

Jamal Malinzi Asalimu Amri, Arudisha Uchaguzi Young Africans
Lennox Lewis, Will Smith kubeba jeneza la Muhammad Ali