Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na wenye ulemavu, Jenista Mhagama akizungumza juu ya sheria mpya ya mfuko wa jamii ya watumishi wa umma ya mwaka 2018 (PSSSF).

Ambapo ametangaza rasmi sheria hizo mpya kuanza kutumika leo Agosti 1, 2018.

Arsenal kumstiri M'Baye Niang?
Asante Kotoko kunogesha tamasha la Simba (Simba Day)