Leo June 08 2016, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Phillip Mpango ameileta Bungenitaarifa ya hali ya Uchumi wa Taifa kwa 2015 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa fedha 2016/17.

Waziri Mpango ametaja vitu vingi katika mpango huo ikiwa ni pamoja na miradi ya maendeleo.

 

Video: Watumishi hewa wa bungeni kupoteza milioni 40 kwa siku.

Mbunge wa jimbo la Nkasi kaskazini Ally Keissy ameiweka wazi takwimu ya kiwango cha fedha zaidi ya milioni 40 kinachopotea kutokana na watumishi hewa bungeni.

Kocha Mpya Wa Azam FC Kuamua Hatma Ya Didier Kavumbagu
Tetesi Za Usajili Leo Jumatano, June 8, 2016