Naibu waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Luhaga Mpina amewataka watendaji wa taasisi za serikali kuyapa kipaumbele maagizo yanayotolewa na viongozi wa ngazi za juu za serikali kinyume na hapo ni kutokutii mamlaka.

Waziri Mpina amesema kuwa uchafuzi wa mazingira hauwezi kuendelea kuvumiliwa na lazima hatua za kisheria zichukuliwe.

Kufuatia taarifa za kutupiana mpira kati ya NEMC, dawasco na Manispaa ya kinondoni katika suala zima la utatuzi wa uchafuzi wa mazingira katika mtaa wa TPDC, Waziri Mpina ameziasa Tasisi za serikali kuwa lazima zifanye kazi kwa kushirikiana kutokana.

Magufuli awavaa JKT, Magereza, Zitto akosoa 'Mbunge' wake kutemwa na JPM
BreakingNews: Msafara wa Waziri Mwakyembe Wapata Ajali, Geita