Waziri wa Habari, Dkt.Harrison Mwakyembe amesema  Jumuiya ya maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) imeendelea kuthamini mchango mkubwa wa wanahabari kwa nchi wanachama kwa kutoa taarifa zilizo sahihi hasa katika kipindi hiki cha janga la Covid 19.


Amebainisha hayo leo juni 23,2020 katika Ufunguzi wa mikutano wa kamati ya kutafuta washindi wa tuzo za wanahabari wa habari za SADC uliofanyika katika kituo cha mikutano cha kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam,.. Bofya hapa kutazama.

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=3DmBEHvEgjo&w=560&h=315]

Hofu yatawala Manchester City
Sancho awajaza mashabiki Man Utd