Waziri Nape: Nitajiuzulu, ni ikibainika anauhusiano na Wema Sepetu, Ukinywa Viroba faini 50,000/-, jela miezi 3, Siku 30 zitakavyotikiswa na matukio matano nchini.., hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Machi 1, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Majaliwa abaini madudu minada ya madini, amuagiza Kamishna wa Madini aende Mererani
Magazeti ya Tanzania leo Machi 1, 2017