Wingu zito kukamatwa Magoti wa LHRC, mamia ya abiria wakwama Ubungo, Maaskofu KKKT waja na salamu nzito za krismasi, Magufuli ataka amani mwaka 2020, Mshukiwa afariki dunia akitoroka askari polisi…, Bofya hapa kutazama habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya leo Jumatatu Desemba 23, 2019.

Serikali yaongeza mbinu ufaulu somo la Sayansi na Hisabati
Polisi aliyekataa rushwa ya Sh10 milioni apandishwa cheo