Young Dee ni mmoja kati ya wasanii wanaotarajia kushambulia kujwaa katika tamasha la ‘Sports and Music Festival’ litakalofanyika Jijini Mwanza siku ya Eid Pili mwezi huu na ameahidi kufanya makubwa jukwaani ili kutoa burudani kwa mashabiki watakao fika katika tamasha hilo.

Akiongea na Dar24 Young Dee amesema kutokana na kuwepo michezo mingi ikiwemo mashindano ya kuendesha magari katika tamasha hilo yeye kama mwanamuziki atahakikisha anafanya vizuri zaidi ili kutoa burudani ya kipeeke.

Tazama video hii hapa chini, Young Dee akifanya mahojiano na Dar24;

Justin Kluivert kukamilisha usajili AS Roma
Trump, Kim Jong Un wasaini makubaliano

Comments

comments