Ziara ya JPM yaondoka na bosi Magereza, Sakata la Dangote lafichua siri nzito… ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Desemba 3, 2016, Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE