Moja ya fahari ya nyumba ni kuwa na muonekano mzuri, siyo nje tu hata sehemu ambayo wageni wanakaa kwa mudamrefu “Sebule” ambayo inahitaji viti na makochi yanayovutia.

Hii ni kwamujibu wa muuzaji wa masofa katikati ya jiji la Dodoma ambaye ameongea na Dar 24 na kueleza ni vigezo gani ambavyo mwenye nyumba anapaswa kuzingatia anapotaka kununua sofa kwaajili ya sebule yake.

Tazama video hii utafahamu kwaundani jinsi gani unapaswa kuzingatia rangi na ukubwa wa familia unapo nunua sofa nyumbani kwako.

Taka ngumu kuboreshwa kuwa mali
Video: Masanja ameachia ngoma yake mpya ''Nii'', Itazame

Comments

comments