Imekuwa kawaida kwa wanawake kutembea na pochi ambayo ndani yake huwa na vitu vingi ikiwamo, Losheni, mafuta, manukato, leso, sindano, uzi, vifungo, Tishu au ‘wipes’ dawa, pochi ya hela, mtandio au khanaga na kadhalika hali ambayo ni taofauti kwa wanaume wenyewe wameumbwa kutokuwa na mambo mengi au vitu vingi .

Kwa mujibu wa mwanamitindo mmoja huko ncini Marekani anayefahamika kwa jina la Alex Costa ametaja vitu sita ambavyo mwanaume wa kisasa anatakiwa kuwa navyo ili aonekane mtanashati ni kama vifuatavyo

  1. Begi

Mwanaume mtanashati anahitaji kuwa na begi zuri haijalishi kazi yake au nafasi yake katika jamii, begi humsaidia kuhifadhi vitu mbalimbali ikiwemo laptop yake na kadhalika, inashauriwa begi hilo kuwa na rangi ya brown au nyeusi kwa kuwa inaendana na mtoko wa nguo ya rangi yeyote.Related image

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

2. Vinasa sauti (Headphone)

Image result for EARPHONE

3. Saa

Kila mwanaume anahitaji kuwa na saa kwani saa inakufanya upnekanao ni mtu ambaye unatunza muda na unajua nini unafanya, kwa kawaida hata ukikutana na mwanamke cha kwanza anachoangalia ni brand gani ya saa unatumia kisha kutambua harufu ya manukato yako na kadhalika, hivyo ili unadhifu wako ukamilike mwanaume lazima uwe na saa mkononi.

Related image

4. Tai

Mwanaume mtanashatri na wa kisasa anatakiwa kabatini kwake awe na tai, Kikawaida vazi la tai huongeza umaridadi kwa mwanaume a kuonekana mtu wa maana zaidi.

Image result for tie

5. Pochi maarufu kama wallet.

Mwanaume mtanashati ni lazima awe na wallet ambayo hutumia kuweka vitu mbalimbali ikiwemo pesa na baadhi ya vitambulisho muhimu.

Image result for mens wallet

Mbali na hivyo kuna vingine vingi na vya muhimu ambavyo mwanaume wa kisasa anapaswa kuwa navyo kama vile, miwani, begi ya kuwekea vifaa vyake vya kuogea kama vile taulo, sabuni, mashine na dawa za kunyolea ndevu na kadhalika.

Hivyo unashauriwa kuwa na angalau vitatu kati ya hivyo kwani inakufanya uonekane mtanashati na maridadi popote uendapo au upitapo, ndiyo vitu vingine kuwa navyo ni mazoea lakini umaridadi wa mtu hupimwa kwa muonekano wake.

Laana ya KuKu haiwezi mpata Mwewe- Mdee
Madiwani Watano wa Upinzani watimkia CCM