Mabilioni ya wanachama NSSF hatarini kuyeyuka, Bunge laagiza Mhasibu mkuu Jeshi la polisi ashtakiwe, Fatma Mwasa akanyaga moto, PAC Trilioni 1.5 hazijaibiwa, serikali yakana kupandisha gharama za matibabu, Kagame ataka ushirikiano EAC, Simba watamba kuifunga Al Ahly.

DC Mtwara amaliza mgogoro uliodumu zaidi ya miaka 10
Watendaji wapewa onyo kali ugawaji wa vitambulisho awamu ya pili