Wabunge wa Chadema, Ester Matiko na John Heche tayari wanashikiliwa na Polisi Kanda ya Tarime na Rorya kwa tuhuma mbili tofauti.

Ambapo John Heche anatuhumiwa kwa kuhamasisha uvamizi kwenye mgodi na Ester Matiko kwa kuhamasisha kilimo cha bangi.

Mbunge wa Tarime Vijijini (Chadema), John Heche awekwa rumande leo baada ya kuripoti kituo cha polisi Tarime kama alivyoagizwa Ijumaa.

20664454_1571436876253634_2708093355166783695_n.jpg

Jurgen Klopp Aisafishia Njia Chelsea FC
FC Barcelona Kuvunja Rekodi Ya Usajili