Kuna kila dalili za wabunge wa UKAWA kuhamishia mgogoro wao na Naibu Spika, Dkt. Tulia Akson kwa Waziri Mkuu, Majaliwa Kasim Majaliwa na wabunge wa CCM.

Hii inafuatia kitendo cha wabunge wa UKAWA kususia kushiriki futari iliyoandaliwa na Mheshimiwa Waziri wake kwa ajili ya wabuge wote.

Aidha, wabunge wa UKAWA baada ya jana kutoka kwenye ukumbi wa Bunge wakiwa wameziba midomo yao kutangaza kuwa hawatasalimiana tena na wenzao wa CCM kwavile wanawazomea na wanaonyesha kila dalili za kumuunga mkono Naibu Spika ambaye kwa madai yao “anaminya uhuru wa Bunge.”

Dar24's photo.

Video: Selena Gomez apata ajali jukwaani
Zamu ya Akon kutwaa tuzo ya heshima BET baada ya Millen Magese