Wabunge wa vyama vya upinzani vinavyounda Ukawa, leo wamekuja na mtindo tofauti wa kupinga mwenendo wa uendeshaji wa Bunge la Jamhuri ya Muungano na Serikali kwa ujumla.

Wabunge hao ambao leo wote walikuwa wamevalia mavazi ya rangi nyeusi tupu, wametoka nje ya Bunge wakiwa wamebeba mabango yenye jumbe mbalimbali za kile wanachokidai.

Ukawa na mabango

Huu ni mtindo mwingine wa aina yake ikiwa ni siku chache baada ya kutoka Bungeni wakiwa wamefunika midomo yao kwa karatasi.

Wabunge Ukawa 3

Mr. Blue: Bifu kama ni la Chuki halina Maana
Dhofar SC Yamalizana Na Mshambuliaji Elius Maguli