T A A R I F A K W A U M M A

Leo majira ya saa 11:00 asubuhi timu ya Polisi Tanzania imepata ajali wakati ikitoka mazoezini kwenye uwanja wa TPC uliopo kwenye Kiwanda cha sukari TPC Moshi na kupelekea majeruhi kwa wachezaji 16 ambao ni

  1. Gerald Mdamu – amevunjika miguu yote miwili
  2. Abdullazizi Mkame
  3. Pius Buswita
  4. Daruweshi Saliboko
  5. Deusdedity Cosmas
  6. Salum Ally
  7. Abdulmaliq Adam
  8. Idd Mobby
  9. Marcel Kaheza
  10. Shabani Stambuli
  11. Yahaya Mbegu
  12. Datusi Peter
  13. Mohammed Bakari
  14. Mohammed Yusuph
  15. Kassim Haruna
  16. Christopher John
  17. George Mketo – dereva
  18. Vicente Ngonyani – dereva

Wachezaji wote hawa wapo KCMC wakiendelea na uchunguzi wa daktari, chanzo cha ajali kinachunguzwa.

Hassan Juma (Ofisa Habari Polisi Tz)

Poleni sana Polisi Tanzania. Mungu awape afya ya uzima watu wote wenye majeraha na mrudi katika majukumu yenu.

Habari kubwa kwenye magazeti leo, Julai 10, 2021
Wanne wasajiliwa 'MASANDAWANA'