Wachezaji 30 wa kike kutoka mataifa mbalimbali duniani wameweka historia katika Mlima mrefu kuliko yote Afrika Mlima Kilimanjaro mara baada kucheza mechi katika kilele cha mlima huo.

Aidha, katika mechi hiyo iliyochezwa katika kilele cha mlima huo wenye urefu wa mita 5731 uliopo Mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzania imekuwa ni ya kihistoria na ya kwanza kushuhudiwa kuchezwa katika kilele cha mlima huo duniani kote.

Hata hivyo, rekodi nyingine iliyowekwa katika mlima Kilimnjaro ni ile ya mwamuzi wa kike, Jonesia Rukyaa  anayetambulika na FIFA kuchezesha mechi hiyo ambayo imeweza kuvuta hisia za watu wengi.

Pacquiao adai hataangalia pambano la Mayweather Vs McGregor kwa sababu hizi
Kichanga chatimba bungeni, Mamaye aistaajabisha dunia