Watu zaidi ya watano wamefariki baada Magari manne kugongana katika mteremko wa Igawilo mkoani Mbeya.

Kwa mujibu wa taarifa za awali, Lori lililokuwa linatoka Rungwe kwenda Mbeya Mjini lilifeli breki na kuigonga Hiace ambapo ilipoteza mwelekeo na kuyagonga magari ya mbele yake.

Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na idadi hiyo ya vifo.

Habari kubwa katika magazeti ya Tanzania leo Septemba 8, 2018
Video: Hii ndiyo sababu, Ukitoroka kwenye magareza haya lazima upoteze maisha

Comments

comments