Bifu iliyopamba moto zaidi kwenye mitandao ya tweeter na instagram kati ya rapa Wakazi na Godzila imechukua sura mpya baada ya wakazi kuachia ngoma kali inayoitwa ”Zillnass” ambayo ni diss song kwa Godzila.

Katika wimbo huo uliotengenezwa na mtayarishaji Q the don Wakazi amemwambia Godzila kwamba anapewa msongo wa mawazo ”stress” na rapa mpya kwenye tasnia ya hiphop Billnas.

Wakazi anasema Godzila hamuwezi kwa lolote na hajui kuchana, skiliza na angalia video ya wimbo huo hapa chini;

Samia awataka wananchi kufichua wanaonyanyasa na kudhalilisha watoto
Video; Dj khaled amkutanisha Rihana na mkali mwingine wa RnB

Comments

comments