Rais wa Marekani Donald Trump ametoa tahadhari kwa wananchi wake kujiandaa kwa idadi ya kubwa ya vifo kutokana na virusi vya corona katika siku chache zijazo.

Trump amesema Marekani inaingia katika kipindi ambacho idadi ya vifo itapanda kwa kasi. Hata hivyo, Rais huyo amesema Marekani haiwezi kuendelea kusitisha shughuli zake milele

Ameongeza kuwa itafika wakati ambao maamuzi magumu yatafanywa, hayo yamejiri wakati visa vya maambukizi ya COVID-19 nchini Marekani vikithibitishwa kupindukia 300,000 kukiwa na zaidi ya vifo 8,300,.

Corona Uganda: Raia milioni 1.5 wapewa chakula bure
IMF: Corona imetikisa uchumi wa Dunia

Comments

comments