Danny Mrwanda ambaye aliwahi kuichezea Simba na Yanga pia ametapa shavu la kusajiliwa na tumu ya  Majimaji ya mjini Songea

Mrwanda anarudi katika ligi kuu akiwa na hari mpya na lengo la usajili wake ni kuongeza nguvu katika safu yaushambuliaji katika timu ya majimaji FC.

Magufuli Aokoa Bilioni Mbili Za Semina Elekezi Kwa Mawaziri Wake
Mexime: Mtibwa Sugar Tupo Kamili Kwa Muendelezo Wa VPL