Kizaa zaa kilitokea Busia wakati ambapo umati wa watu ulifurika katika hoteli moja mjini humo wakitaka kujionea, mwanaume na mwanamke waliokua wamenaswa wakifanya tendo la ndoa, nje ya ndoa zao.

Kila mtu aliyekuwa eneo hilo alitaka kufika kujionea wapenzi hao wawili wanaosemekana kukwamana walipokua wakishiriki tendo la ndoa, iliwalazimu walinda usalama kutumia vitoa machozi kuwatawanya watu hao waliokuwa wanaongezeka eneo hilo kwa wingi.

Inasemekana wawili hao wamekuwa kwenye uhusiano kwa muda mrefu japo walikua na wenza wao kwenye ndoa zao, alikuwa mwanaume wa umri wa miaka 24, na mwanamke mwenye miaka 30, mara kwa mara walionekana pamoja wakitembelea hoteli hiyo.

Mumewe mwanamke huyo, Johnston Kabadi alisema mkewe ambaye wamekuwa kwenye ndoa kwa muda wa miaka 10, amekuwa akishiriki tendo la ndoa nje ya ndoa yao, na mara kwa mara alipomuuliza mwanamke huyo alikana kutofanya hivyo.

Alipofanya upelelezi na kugundua, hakuwa mwaminifu kwenye uhusiano huo aliamua kwenda kupata usaidizi wa kuweza kumnasa kwa mtaalam wa mitishamba, African Doctors na kulingana na Johnston anasema kwamba aliweza kuanza kuona tabia zisizo za kawaida kwa mkewe  ambaye wamekua kwenye ndoa kwa miaka 10.

“Mke wangu alianza kuonesha tabia ambazo sikuelewa zilitoka wapi, kwa muda huo wote tumekuwa kwenye ndoa sijamuona mke wangu akiwa jinsi alivyokua wiki tatu zilizopita.” alinena.

Mwanaume huyo alisema mkewe aliacha kumpa wakati, wala hakutaka kumsikiliza, alionekana aliyekua na shughuli nyingi ambazo hakuelewa zilitoka wapi. Siku  moja nyakati za usiku mkewe alikuja chumbani mwake akiwa mlevi chakari, jambo ambalo lilimkwaza sana.

Hapo ndipo alipogundua kuwa mkewe alikua na uhusiano mwingine, alipata picha ambazo walikua amepiga na mwanaume huyo kwenye simu yake, alimuarifu rafiki yake kuhusu jambo hilo, na kumuomba ushauri.

Hapo ndipo aliarifiwa kuhusu African Doctors, aliweza kukutana na daktari huyo na kumwarifu kuhusu mkewe, na kuwa alitaka ukweli kufichuka, African Doctors alifanya ganga ganga zake na kumwarifu angoje matokea na hazikupita siku nyingi, ndipo alipopata ripoti mkewe walikua wamekwamana na na mwanaume huyo kwenye hoteli, aliwafumania na kuwaona macho kwa macho.

African Doctors aliweza kuwasili eneo hilo na kuwakwamua na kuwaonya wanaume wenye tabia kama hizo kuchukua tahadhari kwani chuma chao kilikua motoni. African Doctors,  pia hutibu magojwa mbalimbali ikiwemo, kifua kikuu, saratani, na uugonjwa wa kisukari na magonjwa mengine mengi.

Wasiliana na African Doctors kwa namba; +254 769 404965, tembelea tovuti yao; www.african-doctors.com au watumie email; africandoctorheals@gmail.com

Wajumbe CWT wamekiuka kanuni - Mwenyekiti Mstaafu
Eneo la Shakahola kuwa Makumbusho - Serikali