Tuzo nzito zaidi za Filamu duniani ‘Oscars’, zilifanyika jana Los Angeles nchini Marekani ambapo Muigizaji aliyewahi kupata umaarufu zaidi kwa kucheza filamu ya Titanic (1997), Leonardo DiCaprio aliondoka na tuzo nzito zaidi akiibeba kwa mara ya kwanza katika tuzo hizo.
DiCaprio alitajwa kuwa Muigizaji Bora kwenye tuzo hizo za 88 zinazotolewa kila mwaka duniani. Muigizaji huyo alisisitiza kuhusu suala la utunzaji wa mazingira duniani wakati akitoa hotuba yake ya kupokea tuzo hiyo nzito aliyoipata kupitia filamu ya ‘The Revenant’.

Leonardo DiCaprio Kate Winslet (Nyota wa Titanic) walipokutana kwenye tuzo za Oscar
Hii ni orodha kamili ya washindi wa tuzo hizo, ambazo mwaka huu ziliwatenga watu weusi na kupewa jina la utani ‘Oscars All White’:
BEST PICTURE
Spotlight
DIRECTING
Alejandro G. Inarritu, The Revenant
ACTOR IN A LEADING ROLE
Leonardo DiCaprio, The Revenant
ACTRESS IN A LEADING ROLE
Brie Larson, Room
ACTOR IN A SUPPORTING ROLE
Mark Rylance, Bridge of Spies
ACTRESS IN A SUPPORTING ROLE
Alicia Vikander, The Danish Girl
ANIMATED FEATURE FILM
Inside Out
CINEMATOGRAPHY
Carol
The Revenant
WRITING (ADAPTED SCREENPLAY)
The Big Short
WRITING (ORIGINAL SCREENPLAY)
Spotlight
SHORT FILM (ANIMATED)
Bear Story
SHORT FILM (LIVE ACTION)
Stutterer
COSTUME DESIGN
Mad Max: Fury Road
DOCUMENTARY (FEATURE)
Amy
DOCUMENTARY (SHORT SUBJECT)
A Girl in the River: The Price of Forgiveness
FILM EDITING
Mad Max: Fury Road
FOREIGN LANGUAGE FILM
Son of Saul
MAKEUP AND HAIRSTYLING
Mad Max: Fury Road
MUSIC (ORIGINAL SCORE)
The Hateful Eight
MUSIC (ORIGINAL SONG)
Writing’s On The Wall, Spectre
PRODUCTION DESIGN
Mad Max: Fury Road
SOUND EDITING
Mad Max: Fury Road
SOUND MIXING
Mad Max: Fury Road
VISUAL EFFECTS
Ex Machina