‪Mwanasiasa mkongwe na waziri wa zamani, Stephen Wassira amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea ubunge Jimbo la Bunda Mjini mkoani Mara.‬
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola amefika katika ofisi za CCM Wilaya ya Bunda kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge katika Jimbo la Mwibara.