Watu watatu wamefariki dunia na wengine 26 kujruhiwa baada ya gari la abiria la Mohamed Classic lenye namba za usajili T 643 DJP kugongana na gari aina ya Fuso lenye namba za usajili T 830 DWF katika eneo la Katesh wilaya ya Hanang mkoani Manyara.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Benjamin Kuzaga amesema ajali hiyo imetokea leo Jumanne Mei 24 huko Katesha wilayani Hanang’ mkoani Manyara kwenye barabara ya Singida-Arusha.

Endelea kufuatilia Dar24 Media kwa taarifa zaidi…..

Rais Samia atajwa kati ya watu 100 wenye ushawishi duniani
Naibu Waziri Kundo: Wadau wa habari tumieni hii fursa