Tundu kwenye moyo ni moja ya hitilafu za magonjwa ya moyo ambayo kwa kawaida watoto wanazaliwanayo, kati ya 1000 watoto nane mapaka kumi huzaliwa na matatizo ya moyo.

Hayo yamesema na Dkt. Sulende Kubhoja kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, wakati akizungumza na Dar 24 Media katika kipindi cjha Afya Tip ambapo ameeleza kuwa moyo unavitu vingi, ameeleza sabau za watoto kuzaliwa na moyo wenye matundu .

Maziwa ya nyuki yanaongeza nguvu za kiume
Video: Wenzetu walichinjwa kama kuku