Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla anatarajia kufanya mkutano na wadau wote wa maliasili na utalii mwezi Oktoba tarehe 22 mwaka huu mjini Dodoma.

Kigwangara ambaye awali alikuwa waziri wa Afya maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto aliteuliwa kuwa waziri katika wizara mpya ya Maliasili na Utalii wiki wiki moja iliyopita na sasa atafanya mkutano na wadau wa maliasili na utalii ili kutoa maoni juu ya maendeleo ya sekta hiyo.

Soma taarifa kamili hapa chini;

Nyalandu ang'ang'ania katiba mpya
Rafa Benitez akataa kurithi mikoba Goodison Park

Comments

comments