Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemjulia hali Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla, akiwa anaendelea kupatiwa  matibabu katika Wodi aliyo lazwa ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa,  Muhimbili (MOI).

 

Dkt. Mwakyembe ateta na Machifu
Breaking: Pole Mh. Sugu kwa kufiwa na mama yako mzazi