rg1a9935

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini, Gabriel Daqalo kwenye uwanja wa ndege wa Arusha kabla ya kurejea jijini  Dar es salaam Oktoba 21, 2016 . Jana alifungua Mkutano wa sita wa wadau wa NSSF kwenye Kituo cha Kimataifa cha mikutano cha Kimataifa cha Arusha AICC. Wapili kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya NSSF, Profesa Samuel Wangwe na Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Profesa  Godius Kahyarara.

rg1a9933
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhami ya NSSF, Profesa Samuel Wangwe kabla ya kupondoka kweye uwanja wa ndege wa Arusha kurejea Dar es salaam  Oktoba 21, 2016.  Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini, GAbriel Daqalo na watatu  kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Profesa Godius  Kahyarara.

Manji: Kama Akilimali Hajalipa Ada Haruhusiwi Kushiriki Mkutano
Makonda atangaza oparesheni mpya, aahidi Dar tulivu