Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo amechukua na kurejesha fomu ya kuwania tena kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Ruangwa, Lindi kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikabidhiwa fomu ya kuomba kugombea ubunge


Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Isimani mkoani Iringa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, akiwa ameambatana na Mke wake,amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Isimani, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Lukuvi akikabidhiwa fomu

Membe rasmi ACT - Wazalendo kushiriki uchaguzi
CAS wamuibua Guardiola, ataka kuombwa radhi