Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson ameelezea kusikitishwa na kifo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli aliyefariki Dunia.

Boris ni miongoni mwa viongozi wa kwanza duniani kutuma salamu za rambirambi baada ya kutangazwa kwa kifo cha Magufuli.

Kupitia ujumbe wake katika ukurasa wake wa Twitter Boris ameandika ‘Fikra zangu zipo na wapendwa wake pamoja na Watanzania.’

Afrika yazizima kifo cha Rais Magufuli
Kenya, EAC zatangaza siku 7 za maombolezo, Kenyatta amlilia Rais Magufuli