Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Ummy Mwalimu leo Oktoba 9, 2021 amesitisha kwa muda mfumo wa kielektroniki wa maegesho ya magari ulio chini ya usimamizi wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mjini TARURA kutokana na malalamiko aliyoyapata Waziri kwa baadhi ya wananchi.

Habari kubwa kwenye magazeti leo, Oktoba 10, 2021
Polepole amjibu Spika Ndugai