Wasanii chini ya lebo ya WCB, bado wanaendelea kuchuana vikali kupitia nyimbo zao wanazozichia mfululizo.

Jana msanii Rajab Abdul maarufu kama Harmonize ameachia wimbo wake unaoenda kwa jina la Nishachoka, leo Septemba 12, Rayvanny naye ameachia wimbo wake unaoenda kwa jina la Unaibiwa.

Kupitia mtandao wa Youtube nyimbo ya Rayvany imekwisha sikilizwa na watu 86,597, huku wimbo wa Harmonize tayari umekwisha sikilizwa na watu 129,468.

Bonyeza hapa kusikiliza nyimbo za mastaa hao wawili toka WCB mwanzo mwisho.

Shabiki aiponza Celtic
Jackline Wolper na Harmonize watoleana mapovu hadharani