Msanii wa filamu nchini, na aliyewahi kuwa Miss Tanzania 2006, Wema Isaack Sepetu baada ya kufungua App yake sasa anakuja na kitu kingine ambacho bado kipo kwenye mabano hadi ifikapo Juni 30, 2018.

Hivyo amewaomba mashabiki wake kuitunza tarehe hiyo na kuikumbuka ili kufahamu kiundani ujio wa siku hiyo

Ujumbe huo ametuma Kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Diamond Platinumz aendelea kudhirisha ushikaji wake na mlimbwende Wema Sepetu kwa kumsapoti katika hili kwa kuposti kwenye ukurasa wake na kuandika ”Save the date” huku Wema akimjibu You are the Best”.

Ni kweli bado haijawekwa wazi nini hasa kina kuja, kwani tunavyojua Wema Sepetu ni mwanamke aliyejikita katika shughuli mbalimbali katika jamii.

Hivyo kaa tayari.

Kupitia ukurasa wake wa Instagrama Wema Sepetu ameandika,

Just save the date,

wiki,week 21

siku/day 151

Masaa/Hours 3628

Dakika/Seconds 217680

#TzSweetHeart2018.

 

 

Nyumba ya kiongozi wa NASA yashambuliwa Kenya
Samatta arejea uwanjani