Wema Sepetu baada ya kuhojiwa na kipindi cha E News cha EATV ameulizwa kuhusu bifu lake na Muna na kudai kuwa yeye huwa hadeal na Washamba akaongeza kusema kuwa urafiki na Muna ulikuja  akijua Muna ni Mshamba lakini alikubali kuweka Ustaa Wake pembeni na kukubali awe Rafiki yake lakini mwisho wake ndio yaliyotokea….

‘Me I dont deal with washamba, i knew she was mshamba alivyokuja lakini nilisema nisiweke ustaa nimchukulie kama vile jinsi alivyo’.

 

Sababu za kukoroma ukiwa umelala na jinsi ya kuzuia hali hiyo.
Maafande Wa Ruvu Shooting Wagomea Mchezo Ligi Kuu