Ni kumbu kumbu ya kijana Dax amabye pia i mwenyekiti wa chama cha Mabaunsa na Bodigadi Tanzania (BBT), akihadithia matukio aliyopitia na miaka 20 iliyopita na kuwa funzo kwake.

Dax ambaye anajishughulisha na shuguli za ubodigadi kwa baadhi ya watu maarufu hapa nchi kazi inayompa kipato cha kila siku katika simulizi yake ametoa ushauri kwa vijana kujituma kwa kila kazi inayotokea mbele yao ili kupunguza vijana tegemezi.

Mesema hayo wakati akizu gumza na Dar24 Mediakatika kipindi cha Mbanga….

Wazazi chanzo cha matatizo ya moyo kwa watoto
Diamond atajwa vipengele 6 tuzo za Afrima