Kundi la Wasanii wa muziki la Weusi limetoa taarifa kwa mashabiki zao na Watanzania kuwa wameahirisha kutoa ngoma yao inayokwenda kwa jina la “Penzi la bando” ilipangwa kuachiwa jana Februari 19, 2021 kutokana na maombolezo ya misiba ya viongozi inayoendelea.

Ndugulile atangaza 'kiama'
RC Geita akerwa na ufujaji fedha za miradi, aagiza uchunguzi