Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema kuna uhaba wa vifaa maalum vya kufunika uso na kujikinga na Virusi vya Corona.

Ghebreyesus ameeleza kuwa, tayari WHO imeanza kupeleka vifaa hivyo katika nchi zinazohitaji msaada na tayari wamesha zungumza na watengenezaji wa bidhaa hizo ili waongeze uzalishaji.

Aidha, amesema watakaopewa kipaumbele katika ugawaji wa vifaa hivyo ni Watumishi wa Afya, wagonjwa na wasaidizi wao.

Tamko la BAKWATA kwa aliyetemea mate Quran, “Tutulie”

Watu 722 wamefariki kutokana na Virusi vya Corona nchini China. Idadi ya walioambukizwa imefikia 34,546 na hadi sasa, nchi 25 zimethibitisha kuwa na maambukizi.

Mwamposa apumzishwa, kanisa kuendelea na mafuta ya upako
Tamko la BAKWATA kwa aliyetemea mate Quran, "Tutulie"