Yule mchenguaji wa uzito wa juu (The Heavyweight MC), mkongwe mwenye majina mengi yasiyo rasmi huku akisimama na jina moja halisi linalotambulika kwenye kitambulisho cha ubunge wa Mikumi, Joseph ‘Profesa Jay’ Haule, ameachia ngoma mpya…!

Ngoma hii ni ya kwanza kwa mwaka huu kutoka kwake, ikiwa ni miezi michache tangu aachie wimbo wa ‘Singeli’.

‘Kibabe (The Icon)’ ni jina la wimbo huo mpya wa mkongwe huyo kwenye tasnia ya muziki wa Bongo Flava, uliopikwa na Mr. T-Touch.

Bofya Link hii kuupata wimbo huo https://www.wasafi.com/audio-detail?audio_id=82

Video: 'Hata ukihama chama, kama unatumia unatumia tu' - TID
Measures to Publishing an Academic Research Proposal