Baada ya kufunguliwa pingu na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA), Nay wa Mitego ameachia wimbo wake wa kwanza nje ya kifungo alioupa jina la ‘Good Time’. Wimbo huo umesukwa ndani ya Burn Records na amemshirikisha Tiki.
Warning: Invalid argument supplied for foreach() in /srv/users/serverpilot/apps/dar24/public/wp-content/plugins/social-networks-auto-poster-facebook-twitter-g/inc/nxs_functions_wp.php on line 166