Rapa toka Mwanza, Young Killer Msodoki amekuja na ngoma yenye ‘swag’ tofuati na aliyowahi kuifanya, akimuomba Mungu ampe moyo wa Utafutaji kwenye wimbo wake mpya wa ‘Mtafutaji’.

Wimbo huo uliopikwa na Mr. T – Touch, una kila dalili za kuwa wimbo mkubwa wa Young Killer ambaye anatajwa kuwa kati ya rappers wenye uwezo mkubwa wa kuandika.

Usikilize hapa:

Kusudio La Kocha Wa Timu Ya Taifa Ya Brazil Lakwama
Mrema awatofautisha Dk. Mashinji na Dk. Slaa