Fahamu yote yaliyojiri katika Magazeti ya ndani na nje ya Tanzania leo Februari 5, 2018. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele.

Video: Mbowe achokonoa Bombardier, Michango shuleni pasua kichwa
Waliolima na kuchoma mkaa msitu wa Malangali kukamatwa mara moja