Kama ulikuwa unadhani ni utani, soma hapa! Unambiwa leo Alhamis (Julai 29) Jaji Patrick Stewart, raia wa Uingereza ataisikiliza kabla ya kuitolea uamuzi kesi ya klabu ya Young Africans dhidi ya Bernard Morrison, huku Joto likizidi kupanda joto baina ya pande zote tatu

SIMBA WANASEMAJE

“Hata kama tunaifahamu hiyo kesi, lakini si ya klabu yetu ni ya mchezaji ndiyo sababu mpaka leo klabu haijaizungumzia,” alisema mmoja wa viongozi wa klabu hiyo.

TFF WANASEMAJE

“Taratibu za uendeshaji wa kesi kama hizo sisi huwa hautuhusu kabisa ni baina ya pande hizo mbili, ila kama tukiletewa na kufahamishwa chochote sawa, lakini mpaka sasa” hatujaelezwa,”

YOUNG AFRICANS WAO WANASEMAJE

“Tutaisikiliza kesi hiyo LIVE kwa njia ya mtandao.”

Klabu bingwa CECAFA yaahirishwa
TPLB yatoa sababu kuchelewa kumalizika Ligi Kuu