Kikosi cha Young Afticans mapema leo Jumapili (Oktoba 17) kimeondoka jijini Dar es salaam kuelekea mjini Songea mkoani Ruvuma.

Young Africans imeelekea Songea kwa ajili ya mchezo wa mzunguu wa tatu wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya wenyeji wao KMC FC waliouchagua Uwanja Majimaji kwa mchezo huo.

Mchezo huo unaosubiriwa kwa hamu kubwa na Mashabiki wa soka nchini kote, umepangwa kuchezwa keshokutwa Jumanne (Oktoba 19).

Kikosi cha Young Africans kilichoondoka Dar es salaam ni Djigui Diarra, Eric Johora na Ramadhani Kabwili.

MABEKI: Bakari Nondo Mwamnyeto, Abdallah Shaibu Ninja, Dickson Job, Yannick Litombo Bangala , David Brayson, Adeyum Salehe, Kibwana Shomari , Djuma Shabani na Paulo Geofrey.

VIUNGO: Mukoko Tomombe, Khalid Aucho, Feisal Salumu, Zawadi Mauya, Jesus Muloko, Deus Kaseke na Farid Mussa

WASHAMBULIAJI: Ditram Nchimbi, Yusuph Athumani, Heriter Makambo, Fiston Kalala Mayele na Yacouba Songne.

Masau Bwire aitakia ushindi Simba SC
TBS yaja na majibu ya juice Ceres yenye sumu Kuvu