Klabu ya Young Africans leo June 1 2016 kupitia katibu mkuu wake Baraka Deusdedit wametoa kalenda ya uchaguzi mkuu wa klabu hiyo, ikiwa ni siku chache zimepita toka shirikisho la soka Tanzania litangaze kuwa uchaguzi wa Yanga utafanyika ndani ya siku 60ila Yanga wametangaza 11/06/2016.

Bado kuna mvutano kati ya TFF na Young Africans, ukweli ni kuwa Young Africans hawataki uchaguzi wao usimamiwe na kamati ya uchaguzi wa TFF“Serikali iliagiza uchaguzi wa Yanga ufanyike hadi June 30 lakini baadae TFF wakatangaza tarehe yao, kwa kifupi uchaguzi wa Yanga utasimamiwa na kamati ya usajili ya Yanga, Yanga sio footbal club ni sports club”

ukataji wa miti kukoma!!
TASWA Yatangaza Kamati Ya Tuzo Za Wanamichezo Bora Tanzania 2015-16