Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita yametangazwa hii leo huku shule ya wasichana ya Feza Girls ikiibuba kinara kwa watahiniwa wake 67 kufauru kwa kupata daraja la kwanza na la pili.

Shule zingine zilizoibuka kidedea katika matokeo hayo ni Marian Boys iliyoshika nafasi ya pili, Kisimiri (Arusha) imeshika nafasi ya tatu, Ahmes (Pwani) imeshika nafasi ya nne,

Aidha, Shule zingine ni pamoja na Marian Girls (Pwani) iliyoshika nafasi ya tano, Mzumbe (Morogoro) imeshika nafasi ya sita, St. Marrys Mazinde Juu (Tanga) nafasi ya saba, Tabora Boys (Tabora) nafasi ya nane, Feza Boys (Dar es salaam) nafasi ya tisa na Kibaha (Pwani) iliyoshika nafasi ya kumi

  1. Feza Girls
  2. Marian Boys
  3. Kisimiri
  4. Ahmes
  5. Marian Girls
  6. Mzumbe
  7. St. Marrys Mazinde Juu
  8. Tabora Boys
  9. Feza Boys
  10. Kibaha

 

Video: Majaliwa aridhishwa na ujenzi wa gati Lindi, atoa maagizo kwa viongozi
Tazama hapa matokeo kidato cha sita (ACSEE), ualimu (DSEE) na GATCE 2017