?Live: Ziara ya Rais Magufuli Mkoani Pwani leo Juni 22, 2017
8 years agoComments Off on ?Live: Ziara ya Rais Magufuli Mkoani Pwani leo Juni 22, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yupo Mkoani Pwani kikazi ambapo leo Juni 22, 2017 anahitimisha ziara yake ya siku ya tatu kwa kuweka jiwe la Msingi katika Kiwanda cha Kusindika Matunda cha Sayona katika kijiji cha Mboga, Msoga wilayani Bagamoyo. Bofya hapa kutazama hapa moja kwa moja.