?Live: Wabunge wakipiga kura kuhitimisha Bajeti Kuu ya Serikali
8 years agoComments Off on ?Live: Wabunge wakipiga kura kuhitimisha Bajeti Kuu ya Serikali
Tazama hapa moja kwa moja kutoka Bungeni Dodoma leo Juni 20, 2017 muda huu, Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakipiga kura ya wazi kuhitimisha Bajeti Kuu ya Serikali ya 2017/2018.