Fuatilia hapa matangazo hayo moja kwa moja ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mjini Dodoma katika Mkutano wa saba leo Mei 11, 2017 muda huu, ambapo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa anajibu maswali ya papo kwa papo kutoka kwa wabunge kama ilivyo kila Alhamisi kisha kuendelea na maswali ya kawaida. Bofya hapa kutazama