Katibu Mtendaji Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), Charles Msonde ametangaza rasmi matokeo ya kidato cha nne ambapo ameweka bayana shule zilizofanya vizuri na vibaya kitaifa.

Ametoa orodhesha ya shule kumi zilizoingia katika kumi bora ya shule zilizofanya vizuri na vibaya kitaifa ambapo shule 100 zilizobainishwa ni zile zenye wanafunzi zaidi ya 40 katika mikondo ya madarasa.

Shule 10 zilizofanya vizuri kitaifa ni.

  1. St.Francis
  2. Fedha Boys
  3. Chemoboss
  4. Bethel Saps
  5. Anuarite
  6. Marian Girls
  7. Canossa
  8. Fedha Boys
  9. Marian Boys
  10. Shamsiye.

Shule 10 zilifanya vibaya kitaifa

  1. Kusini
  2. Pwani Mchanagni
  3. Mwenge
  4. Langoni
  5. Furaha
  6. Mbesa
  7. Kabugaro
  8. Chokocho
  9. Nyeburu
  10. Mtule

 

Viongozi wa NASA walalama Serikali kuwanyang’anya walinzi
Rais wa Liberia apunguza mshahara wake